Jinsi ya kuhariri au kufuta gharama

Unaweza kurekebisha gharama baada ya kuihifadhi. Kila mtu kwenye kikundi ataona salio lililosasishwa.

Hatua

  1. Fungua kikundi na uguse gharama husika.
  2. Ili kuibadilisha, gusa Hariri (Edit), fanya mabadiliko na uguse Hifadhi (Save).
  3. Ili kuiondoa, gusa kitufe cha ⋯, kisha Futa (Delete), na uthibitishe.

Gharama iliyofutwa haiwezi kurejeshwa.

Programu ya SplitEase bado haipatikani kwa lugha hii. Majina ya vitufe yaliyo kwenye mabano ndiyo utakayoyaona kwenye skrini.

Maswali yanayohusiana

Bado unahitaji msaada?

Tuandikie na mtu kutoka timu ya SplitEase atakujibu.

Wasiliana na huduma kwa wateja
Lugha: Kiswahili