Jinsi ya kufuta akaunti yangu ya SplitEase
Unaweza kufuta akaunti yako kutoka kwenye programu wakati wowote. Malizana na wengine kwanza ili salio lako lifutike.
Hatua
- Nenda kwenye Wasifu (Profile) na uguse Akaunti (Account).
- Gusa Futa akaunti (Delete Account).
- Soma ujumbe na uguse Ndiyo, futa akaunti yangu (Yes, delete my account).
Kufuta akaunti yako hakuwezi kutenduliwa.
Huwezi kuingia tena? Bado unaweza kutuomba tuifute. Ukurasa wetu wa Futa akaunti yako unaeleza jinsi ya kufanya hivyo, na kinachotokea kwa data yako.
Programu ya SplitEase bado haipatikani kwa lugha hii. Majina ya vitufe yaliyo kwenye mabano ndiyo utakayoyaona kwenye skrini.